Ufafanuzi wa pagaa katika Kiswahili

pagaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    chukua kitu k.v. mzigo juu ya kichwa au juu ya bega.

Matamshi

pagaa

/paga:/