Ufafanuzi msingi wa pagaro katika Kiswahili

: pagaro1pagaro2

pagaro1

nomino

  • 1

    nguo au vazi linalovaliwa kwa kujifunga sehemu za tumboni.

Matamshi

pagaro

/pagarÉ”/

Ufafanuzi msingi wa pagaro katika Kiswahili

: pagaro1pagaro2

pagaro2

nomino

  • 1

    kipande cha mti kinachotumiwa kuwashia moto kwa kupekecha.

Matamshi

pagaro

/pagarÉ”/