Ufafanuzi wa pagua katika Kiswahili

pagua

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    badilisha njia kwa ajili ya kuhepa kitu.

Matamshi

pagua

/paguwa/