Ufafanuzi wa paguo katika Kiswahili

paguo

nominoPlural paguo

  • 1

    njia inayopitwa ili kuhepa kitu kilicho kwenye njia ya kawaida.

Matamshi

paguo

/paguwɔ/