Ufafanuzi wa pajama katika Kiswahili

pajama

nomino

  • 1

    shati na suruali zinazovaliwa wakati wa kulala.

Asili

Khi

Matamshi

pajama

/paŹ„ama/