Ufafanuzi wa paje katika Kiswahili

paje

nominoPlural mapaje

  • 1

    bua bichi k.v. la mtama au mhindi lisilokuwa na utamu mwingi.

Matamshi

paje

/paʄɛ/