Ufafanuzi wa paji katika Kiswahili

paji

nominoPlural maji

  • 1

    sehemu ya uso iliyo juu ya macho.

Matamshi

paji

/paʄi/