Ufafanuzi msingi wa pakacha katika Kiswahili

: pakacha1pakacha2

pakacha1

nominoPlural mapakacha

  • 1

    kikapu kilichosukwa kwa makuti ya mnazi.

    kitasi

Matamshi

pakacha

/pakatʃa/

Ufafanuzi msingi wa pakacha katika Kiswahili

: pakacha1pakacha2

pakacha2

nominoPlural mapakacha

  • 1

    mtu mwongo.

Matamshi

pakacha

/pakatʃa/