Ufafanuzi wa pakana katika Kiswahili

pakana

kitenzi sielekezi

  • 1

    tenganishwa kwa mpaka mmoja.

    ‘Tanzania imepakana na Kenya kwa upande wa Kaskazini’
    ‘Mashamba yetu yamepakana’

Matamshi

pakana

/pakana/