Ufafanuzi wa paku katika Kiswahili

paku

nomino

  • 1

    alama ambayo ina rangi tofauti na rangi ya mwili wa mtu, kitu au mnyama.

    baka, bato, doa, waa

Matamshi

paku

/paku/