Ufafanuzi msingi wa palia katika Kiswahili

: palia1palia2palia3

palia1

kitenzi elekezi~lika, ~lisha, ~wa, ~za

  • 1

    sababisha mvurugiko wa utaratibu wa kuvuta na kutoa pumzi kwa sababu ya chakula, maji au mate kupitia kwenye njia ya pumzi badala ya njia ya chakula.

    ‘Chakula kimempalia’

Ufafanuzi msingi wa palia katika Kiswahili

: palia1palia2palia3

palia2

kitenzi elekezi~lika, ~lisha, ~wa, ~za

  • 1

    weka mkaa wa moto juu ya sufuria kwa lengo la kupika kitu k.v. wali.

Ufafanuzi msingi wa palia katika Kiswahili

: palia1palia2palia3

palia3

kitenzi elekezi~lika, ~lisha, ~wa, ~za

Matamshi

palia

/palija/