Ufafanuzi wa palilia katika Kiswahili

palilia

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa magugu na nyasi ndogondogo shambani kwa kutumia jembe.

Matamshi

palilia

/palilija/