Ufafanuzi wa palizi katika Kiswahili

palizi

nomino

  • 1

    uondoaji wa nyasi na magugu kwenye mimea shambani.

Matamshi

palizi

/palizi/