Ufafanuzi msingi wa pamba katika Kiswahili

: pamba1pamba2pamba3pamba4

pamba1

nominoPlural pamba

 • 1

  sufi ya mmea iliyo nyeupe na laini yenye urefu wa baina ya inchi moja na nne inayotumiwa kutengenezea nguo.

Ufafanuzi msingi wa pamba katika Kiswahili

: pamba1pamba2pamba3pamba4

pamba2

nominoPlural pamba

 • 1

  chakula au masurufu ya wakati wa safari.

Ufafanuzi msingi wa pamba katika Kiswahili

: pamba1pamba2pamba3pamba4

pamba3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~iza, ~wa, ~ana, ~isha

 • 1

  visha mavazi mazuri na ya kupendeza.

 • 2

  tia urembo.

  remba

 • 3

  tayarisha au panga vitu kwa uzuri.

Ufafanuzi msingi wa pamba katika Kiswahili

: pamba1pamba2pamba3pamba4

pamba4

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~iza, ~wa, ~ana, ~isha

 • 1

  kuwa mahali, agh. watu au wadudu, kwa wingi.

  ‘Sisimizi wameipamba sukari yote’
  tapakaa

Matamshi

pamba

/pamba/