Ufafanuzi wa pambajio katika Kiswahili

pambajio

nominoPlural pambajio

  • 1

    mahali, agh. kwenye chumba au jengo, watu wanapokaa kungojea zamu zao k.v. kuonana na daktari au mtu katika ofisi.

Matamshi

pambajio

/pambaʄijo/