Ufafanuzi wa pambaniza katika Kiswahili

pambaniza, pambanya

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    epuka kujibu au kusikiliza jambo kwa kutia maneno mengine ama kufanya jambo jingine.

    beregeza, gangaiza

Matamshi

pambaniza

/pambaniza/