Ufafanuzi wa pambazuka katika Kiswahili

pambazuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika

  • 1

    kuisha kwa hali ya giza na kuwa kweupe.

  • 2

    kuwa asubuhi.

    cha

Matamshi

pambazuka

/pambazuka/