Ufafanuzi wa panchi mzunguko katika Kiswahili

panchi mzunguko

nominoPlural panchi mzunguko

  • 1

    koleo ya mshonaji viatu yenye meno ya kutobolea matundu kwenye ngozi.

Asili

Kng

Matamshi

panchi mzunguko

/pantʃi mzungukɔ/