Ufafanuzi wa pandia katika Kiswahili

pandia

kitenzi elekezi

  • 1

    pata mahitaji ya lazima k.v. chakula kutoka kwa mtu mwingine bila ya kufanya kazi.

    doea, doya, rombeza

Matamshi

pandia

/pandija/