Ufafanuzi wa pandikiza katika Kiswahili

pandikiza

kitenzi elekezi

 • 1

  atika
  and → kitia

 • 2

  pachika kichipukizi cha mmea ndani ya mmea mwingine ili kupata mmea chotara.

 • 3

  weka kizuizi cha dawa kwa mwanamke ili asipate mimba.

Matamshi

pandikiza

/pandikiza/