Ufafanuzi wa pandikizi katika Kiswahili

pandikizi

nominoPlural mapandikizi

  • 1

    sifa ya kuonyesha ukubwa wa kitu au mtu.

    ‘Pandikizi la samaki’
    pande

Matamshi

pandikizi

/pandikizi/