Ufafanuzi wa pandisha katika Kiswahili

pandisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kitu kiende juu au juu ya kitu kingine.

  • 2

    wezesha ng’ombe dume kumpanda ng’ombe jike ili apate mimba.

Matamshi

pandisha

/pandi∫a/