Ufafanuzi msingi wa panga katika Kiswahili

: panga1panga2panga3panga4panga5panga6

panga1

kitenzi elekezi

 • 1

  weka vitu au watu kwa taratibu fulani k.v. katika mstari.

Matamshi

panga

/panga/

Ufafanuzi msingi wa panga katika Kiswahili

: panga1panga2panga3panga4panga5panga6

panga2

kitenzi elekezi

 • 1

  kaa kwenye nyumba au chumba kisichokuwa mali yako kwa malipo ya pesa kila mwezi au muda uliowekwa.

  ‘Nyumba ya kupanga’

Matamshi

panga

/panga/

Ufafanuzi msingi wa panga katika Kiswahili

: panga1panga2panga3panga4panga5panga6

panga3

kitenzi elekezi

 • 1

  fanya udugu, ubaba au uana na mtu ambaye si damu moja.

Matamshi

panga

/panga/

Ufafanuzi msingi wa panga katika Kiswahili

: panga1panga2panga3panga4panga5panga6

panga4

kitenzi sielekezi

 • 1

  kaa uhawara; kaa kinyumba.

  ‘Fulani amepanga na fulani’

Matamshi

panga

/panga/

Ufafanuzi msingi wa panga katika Kiswahili

: panga1panga2panga3panga4panga5panga6

panga5

nomino

 • 1

  silaha au zana inayofanana na kisu kikubwa inayotumiwa kukatia vitu k.v. miti au kuni.

Matamshi

panga

/panga/

Ufafanuzi msingi wa panga katika Kiswahili

: panga1panga2panga3panga4panga5panga6

panga6

nomino

 • 1

  mahali maalumu palipowekwa na watu ili kwenda kufanyia matambiko yao.

  mzimu

Matamshi

panga

/panga/