Ufafanuzi wa pangisha katika Kiswahili

pangisha

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu kitu, agh. nyumba, kwa muda maalumu na kwa malipo.

Matamshi

pangisha

/pangiāˆ«a/