Ufafanuzi msingi wa pango katika Kiswahili

: pango1pango2

pango1

nomino

  • 1

    uwazi mkubwa ulioko katika ardhi, mti au jabali kubwa.

    genge

Matamshi

pango

/pangÉ”/

Ufafanuzi msingi wa pango katika Kiswahili

: pango1pango2

pango2

nomino

  • 1

    kodi ya nyumba au chumba anayolipa mpangaji kila mwezi au baada ya muda fulani.

Matamshi

pango

/pangÉ”/