Ufafanuzi wa pangua katika Kiswahili

pangua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    ondoa mpango au utaratibu wa vitu vilivyowekwa pamoja.

    vuruga, changua, vunja

Matamshi

pangua

/panguwa/