Ufafanuzi msingi wa pangusa katika Kiswahili

: pangusa1pangusa2

pangusa1

kitenzi elekezi

  • 1

    futa vumbi au uchafu kwa kutumia kitambaa au mkono.

    futa, safisha

Matamshi

pangusa

/pangusa/

Ufafanuzi msingi wa pangusa katika Kiswahili

: pangusa1pangusa2

pangusa2

nomino

Matamshi

pangusa

/pangusa/