Ufafanuzi wa panji katika Kiswahili

panji

nomino

  • 1

    samaki wa baharini anayefanana na nguru mwenye rangi ya manjano tumboni na kahawia mgongoni.

    fulusi

Matamshi

panji

/panʄi/