Ufafanuzi wa panka katika Kiswahili

panka

nominoPlural panka

  • 1

    kifaa cha chuma kinacholeta ubaridi wakati kinapozunguka, agh. hupelekwa kwa nguvu za umeme.

    pangaboi, feni

Asili

Khi

Matamshi

panka

/panka/