Ufafanuzi wa pantoni katika Kiswahili

pantoni

nominoPlural mapantoni

  • 1

    chombo cha majini kilicho na tako bapa kinachotumiwa kwa kuvushia watu au magari.

    feri, kivuko

Asili

Kng

Matamshi

pantoni

/pantɔni/