Ufafanuzi wa panya katika Kiswahili

panya

nominoPlural panya

  • 1

    mnyama mwenye pua iliyochongoka, mkia mrefu na masharubu, paka humpenda sana kama chakula chake.

Matamshi

panya

/paɲa/