Ufafanuzi wa panza katika Kiswahili

panza

nominoPlural panza

  • 1

    nazi inayobaki katika kifuu baada ya kukunwa.

  • 2

    kipande cha sabuni kilichobakia baada ya kutumiwa.

    kichelema

Matamshi

panza

/panza/