Ufafanuzi msingi wa panzi katika Kiswahili

: panzi1panzi2

panzi1

nominoPlural panzi

  • 1

    mdudu wa jamii ya nzige, mwenye umbo refu, meno meusi mawili, mbawa nne na miguu sita na kati ya hiyo miwili ni mikubwa zaidi na hutumika kwa kurukia na kujihami.

    funutu

Matamshi

panzi

/panzi/

Ufafanuzi msingi wa panzi katika Kiswahili

: panzi1panzi2

panzi2

nominoPlural panzi

  • 1

    samaki mdogo ambaye mapezi yake hutumika kama mbawa na humwezesha kuruka kutoka majini.

Matamshi

panzi

/panzi/