Ufafanuzi msingi wa papa katika Kiswahili

: papa1papa2papa3Papa4

papa1

kielezi

 • 1

  msisitizo wa mahali hapa.

  ‘Papa hapa’

Ufafanuzi msingi wa papa katika Kiswahili

: papa1papa2papa3Papa4

papa2

nominoPlural papa

 • 1

  samaki mkubwa wa baharini asiye na mamba mwenye ngozi nene ya kijivu hafifu na wako wa aina nyingi k.v. papa upanga, papa pingusi, papa usingizi, papa amrani.

Ufafanuzi msingi wa papa katika Kiswahili

: papa1papa2papa3Papa4

papa3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  moyo kwenda kwa haraka bila kufuata mapigo ya kawaida.

  ‘Moyo unanipapa’

Matamshi

papa

/papa/

Ufafanuzi msingi wa papa katika Kiswahili

: papa1papa2papa3Papa4

Papa4

nominoPlural Papa

 • 1

  kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki duniani; Baba Mtakatifu.

Asili

Kla

Matamshi

Papa

/papa/