Ufafanuzi wa papara katika Kiswahili

papara

kielezi

  • 1

    bila ya makini; kwa harakaharaka.

    ‘Anafanya kwa papara’

Matamshi

papara

/papara/