Ufafanuzi wa papatua katika Kiswahili

papatua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    ondoa kwa nguvu vitu vilivyoshikana au vilivyofumba.

    babadua

  • 2

    kuwa wazi kwa tumba la maua baada ya kutoa petali.

    chanua

Matamshi

papatua

/papatuwa/