Ufafanuzi wa papia katika Kiswahili

papia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    taka kupata kitu kwa wingi kuliko haja yako au kuliko wengine.

    ‘Anapenda kupapia chakula’
    haha

Matamshi

papia

/papija/