Ufafanuzi wa papura katika Kiswahili

papura

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kwaruza kwa kucha au kitu chenye ncha k.v. miba au vijiti.

    ‘Papura uso’

Matamshi

papura

/papura/