Ufafanuzi msingi wa para katika Kiswahili

: para1para2para3para4

para1

nomino

 • 1

  mkate unaotengenezwa kwa ufuta.

Matamshi

para

/para/

Ufafanuzi msingi wa para katika Kiswahili

: para1para2para3para4

para2

kitenzi sielekezi

 • 1

  pamba kwa kujipodoa k.v. kwa manukato au poda.

Matamshi

para

/para/

Ufafanuzi msingi wa para katika Kiswahili

: para1para2para3para4

para3

kitenzi elekezi

 • 1

  lima majani juu bila ya kuchimbua.

  gwaza

Matamshi

para

/para/

Ufafanuzi msingi wa para katika Kiswahili

: para1para2para3para4

para4

kitenzi elekezi

kitenzi elekezi

Matamshi

para

/para/