Ufafanuzi wa parachuti katika Kiswahili

parachuti

nominoPlural parachuti

  • 1

    kifaa kama mwavuli kilichotengenezwa kwa nguo anachofungiwa mtu au mzigo unaodondoshwa kutoka kwenye ndege ili ushuke polepole.

Asili

Kng

Matamshi

parachuti

/paratʃuti/