Ufafanuzi wa paraganya katika Kiswahili

paraganya

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa ovyo.

    vuruga

Matamshi

paraganya

/paragaɲa/