Ufafanuzi wa parakachua katika Kiswahili

parakachua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kwa ghafla na kwa haraka.

Matamshi

parakachua

/parakatʃuwa/