Ufafanuzi wa parara katika Kiswahili

parara

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    fifia rangi au ngozi.

    ‘Nguo yangu imeparara kwa jua, hali ngozi yangu imeparara kwa baridi’
    pauka, kwajuka, chujuka

Matamshi

parara

/parara/