Ufafanuzi wa pareto katika Kiswahili

pareto

nominoPlural pareto

  • 1

    mmea mdogo wenye maua meupe yanayotengenezwa dawa ya kuulia wadudu unaokuzwa zaidi katika sehemu za baridi za nchi za Afrika Mashariki.

Asili

Kng

Matamshi

pareto

/parɛtɔ/