Ufafanuzi wa paru katika Kiswahili

paru

nominoPlural maparu

  • 1

    bangi iliyochanganywa na kitu cha sukari na hutumiwa, agh. na Wahindi, kama chakula au uraibu.

Asili

Khi

Matamshi

paru

/paru/