Ufafanuzi wa pasipo katika Kiswahili

pasipo

kiunganishi

  • 1

    bila ya kuwa na.

    pasi, minghairi ya, bighairi ya, bila

Matamshi

pasipo

/pasipɔ/