Ufafanuzi wa pasisha katika Kiswahili

pasisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya mtu afaulu.

  • 2

    thibitisha ubora au ukamilifu wa kitu.

Matamshi

pasisha

/pasi∫a/