Ufafanuzi msingi wa pata katika Kiswahili

: pata1pata2

pata1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~iwa, ~wa

 • 1

  kuwa na jambo, hali au kitu.

  ‘Pata homa’
  ‘Pata msiba’
  ‘Pata habari’
  ‘Pata barua’

 • 2

  ‘Nilipata kufanya kazi hapa’
  wahi

Matamshi

pata

/pata/

Ufafanuzi msingi wa pata katika Kiswahili

: pata1pata2

pata2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~iwa, ~wa

 • 1

  kuwa kali.

  ‘Kisu kimepata’
  koa

Matamshi

pata

/pata/