Ufafanuzi wa patana katika Kiswahili

patana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na uelewano baina ya pande mbili.

    lingana, afikiana, elewana

Matamshi

patana

/patana/