Ufafanuzi wa patanisha katika Kiswahili

patanisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    suluhisha ugomvi wa watu wengine.

  • 2

    fanya watu waliokosana warudiane tena.

Matamshi

patanisha

/patani∫a/